FT: Yanga S.C 3-1 Geita Gold | NBC Premier League | Chamazi Complex | 12.03.2023

FT: Yanga S.C 3-1 Geita Gold | NBC Premier League | Chamazi Complex | 12.03.2023

KOCHA MINZIRO UNATEGEMEA NN UTOPOLO BANA[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Chamazi Complex inawaka moto[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Yanga wanatandaza soka ambalo halipo hapa duniani, ni soka la sayari nyingine kabisaa
Kahhh!!🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nikushangae wewe zwazwa.
Lini yanga kamfunga Simba kwenye ligi?
Au ushajiona kibonde had ukomae kufungwa na Simba na sio kumfunga Simba.
Nilitegemea utaniambia mbona yanga kamfunga Simba kwenye ligi ,hoja Yako ingekua na maana .
Wewe unayebwabwaja hapa na njaa na stress zako mara yako ya mwisho kumfunga Yanga kwenye Ligi ni lini zaidi ya kushangilia sare?

Ushindwe wewe utegemee wengine waweze ili wakusaidie [emoji1787][emoji1787] . Pole kwa maumivu. Na sio tu Geita hakuna kondoo yoyote wa kutuzuia Ligi kuu, leta timu yako kama unaona wengine wanaonewa.

Na bado tukikutana nakukanda vilevile. Mbwa mwenye mikia miwili wewe.
 
Back
Top Bottom