Auto-Marvelt
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 1,653
- 3,336
Bado kama mawili iv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ile sio game ni upumbavuGame ya Mtibwa jana uliona vile beki zinakabia macho badala ya kucheza mpira
Zili appear mbiliNaona umeandika ukafuta Mtani. Teh teh.
Alisikika mchambuzi wa soka misheni townsafu ya ulinzi GGF inacheza kama wanawatafutia magoli Yanga. Magoli mawili ukiangalia yalipoanzia ni harufu ya bahasha tu
bahasha imepita hapo magoli yote ni mchongoLeta timu yako isaidie.
Nikushangae wewe zwazwa.Simba yako inaweza? Maana tangu makocha wawili nyuma, hujatoboa kwa Yanga. Ulikuwa unafungwa magoli ya ajabu? Kipi kilikushinda wewe ukataka wenzako waweze?
Imethibitishwa Muamala wako asante kwa kuchagua mtandao pendwa.Imethibitishwa
AwapiBado kama mawili iv
Usimuache mkeo. Historia ya mashabiki wa yanga sio nzuri sana na kina mama.Nipo hapa Azam complex nimewaleta mashemeji na wife jumla wapo wa 3
So mke ni yanga mimi mume ni Simba
Baada ya geita kusawazishiwa nimekasirika Sana na watarud nyumbani Kwa miguu nipo pale nimekaa 🤓🤓🤓
Ficha mkia ww mikia fc, Kauze Ngada hukoooobahasha imepita hapo magoli yote ni mchongo
Ref mama JUsimuache mkeo. Historia ya mashabiki wa yanga sio nzuri sana na kina mama.
Endelea kuupendaHuu utabiri nimeupenda
Ngoma drooEndelea kuupenda
Hahaha. Wanayanga tena.Ref mama J
hili la bahasha alihitaji kuwa mchambuzi wa mpira kutambua. Haya mambo yanaharibu raha ya kushabikia mpiraAlisikika mchambuzi wa soka misheni town
Walileta midomo Yao wakasahau sisi ndio mabingwa wa kupindua mezaCha kushangaza wana simba tumeidhiwa bando wote kwa pamoja