New City
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 2,880
- 3,794
Mbona wakati wanatangulia mlipayukwaKama ulikuwepo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona wakati wanatangulia mlipayukwaKama ulikuwepo
Hatimae.Geita ya minziro haiwez shinda dhidi ya yanga.
Ni sawa yanga akutane na singida .
Hii ni zuga tu subir kipind Cha pili uone magoli ya ajab ajab yakipatikana Kwa uto
Utaumia mno. Utangoja mno.Hamna ligi hapa huu uhuni na upangaji matokeo
Unacheza namba ngapiAiseee tumenyimwa Tena penati
Ya kabati au ya kitanda?Game droo
Hamna ligi hapa huu uhuni na upangaji matokeoHaya yalitegemewa ,uto lazima ashinde Kwa namna yoyote ile
kwa mpira mkubwa kama huu.ukiwaza haya utakuwa na yako tuHamna ligi hapa huu uhuni na upangaji matokeo