FT: Yanga S.C 3-1 Geita Gold | NBC Premier League | Chamazi Complex | 12.03.2023

Hajatukana, ww unaleta uboya wako hapa wa kumtukana mtu kisa mpira
Ukishindwa hoja unakausha Sio kuanza kutukana tukana ovyo
Kabla hujaongea kitu jiridhishe kwanza ,sina ujinga wa kuattack mtu bila sabab za msingi.
Yeye ndie kapanik na kuabuse then nikampay back.
 
Umenena kweli mkuu, kama mimi nimeingia JF na mpira unakwisha......Yanga Daima Mbele[emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172]
 
Kabla hujaongea kitu jiridhishe kwanza ,sina ujinga wa kuattack mtu bila sabab za msingi.
Yeye ndie kapanik na kuabuse then nikampay back.
Ulivyoanza kuniita zwazwa ulitegemea nikubembeleze? Let's get on, I have some time to spare.
 
Uko na shida kwenye mental Yako sio Bure
Maana ya utan ni Nini?
Mara ngap hapa watu wa yanga wanaisema coastal union kuwa ni tawi la Simba?
Mara ngapi watu wa yanga walikua wakiisema coastal ilipokua chini ya mgunda?
Mbona ni utan WA kawaida tu ,why univamie kama nimekuibia mkeo kisa mambo ya mpira huu huu wa bongo?
Minds are conquered not by arms but by love and magnanimity.
First say to ur self before attack others.
Huu ni mpira tu na utan lazima uwepo .
Huwez endelea na mishe zingine .
 
Hilo liko wazi kama uji wa ngomanii...mijina ya hovyo kupata kutokea
 
Hapa nimekuelewa, brother. Nisamehe kama nilikukwaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…