Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
KumbeeeTumekubaliana humu ligi ya ndani kuwa anaetembeza bahasha zaidi ndio anayefunga magoli mengi, kwaio Simba mnaongoza kutembeza bahasha.
Na mkasema kipimo kizuri kipo kule kimataifa, Aya Yanga ameshafunga magoli 6 kimataifa Simba imefunga magoli 2 tu
Mkuu mbona goli ni nyingi sana hizo??Na,Iona goli za kutosha, Mayele [emoji460][emoji460], Musonda[emoji460][emoji460], Mzize[emoji460][emoji460], Aziz[emoji360][emoji460][emoji460]
Morison [emoji460]
Yanga 9-1 Geita gold. Goli la Geita atajifunga zawadi mauya
Na,Iona goli za kutosha, Mayele [emoji460][emoji460], Musonda[emoji460][emoji460], Mzize[emoji460][emoji460], Aziz[emoji360][emoji460][emoji460]
Morison [emoji460]
Yanga 9-1 Geita gold. Goli la Geita atajifunga zawadi mauya
Kumbe hujui, Yanga imeamua ifunge magoli huko kimataifa maana humu ndani mnasema bahasha... Sasa imeshajulikana watoa bahasha ni kina nani maana Wana goli 2 tu za kimataifa paka sasaKumbeee
Tena anasema anapiga goli[emoji460][emoji460] leomorrison anacheza leo?
Tena anasema anapiga goli[emoji460][emoji460] leoView attachment 2547651
AAa wapiii kwani humu ndani toka ligi ianze imeshafunga kitu gani mpk kiwashtue watu waseme ni bahasha?Kumbe hujui, Yanga imeamua ifunge magoli huko kimataifa maana humu ndani mnasema bahasha... Sasa imeshajulikana watoa bahasha ni kina nani maana Wana goli 2 tu za kimataifa paka sasa
Kama hivyo basi Wewe haupo lile kundi la vichwa vya wendawazimu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]AAa wapiii kwani humu ndani toka ligi ianze imeshafunga kitu gani mpk kiwashtue watu waseme ni bahasha?
Mm sio muumini wa kusema bahasha...
Hutawaona mpaka timu ipate ifungeWananchi wenzangu Tate Mkuu, ukikaidi utapigwa2 , babu onyango , Joseverest Bantu Lady , Daudi Mchambuzi, Kilimbatzz, Labani og, Shadeeya na Wana Yanga wotee tujongee kulisapoti chama letu[emoji123]
Majukumu tu yanawabana mkuu, nimegundua Wananchi wengi ni maboss na watu wazito ambao sio muda wote wanakuwa na muda wa kuja jf kuzurula zurula kama ilivyo kwa sisi Wana Simba ambao wengi wetu ni jobless hatuna shughuli maalumu ndio maana unatuona tupo humu masaa 24/7[emoji23][emoji23][emoji23]Hutawaona mpaka timu ipate ifunge
Hawana Team Pale Lile Ni Genge!!Yanga bana wanajitajiaga mijigoli miiingii wanaishi 1 wakjitahidi 2
Viber100Yanga bana wanajitajiaga mijigoli miiingii wanaishi 1 wakjitahidi 2
Hayupo bado ana matatizo ya kifamilia yasiyoisha, huku akiendelea kula ngano ya Utopolo ya bure.morrison anacheza leo?
Mbona takwimu zinaonyesha vibaka na panya road ni wananchi.Majukumu tu yanawabana mkuu, nimegundua Wananchi wengi ni maboss na watu wazito ambao sio muda wote wanakuwa na muda wa kuja jf kuzurula zurula kama ilivyo kwa sisi Wana Simba ambao wengi wetu ni jobless hatuna shughuli maalumu ndio maana unatuona tupo humu masaa 24/7[emoji23][emoji23][emoji23]