utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 575
- 1,575
- Thread starter
-
- #201
Hapana asingeufikia mkuu, hapo ni sheria tu ndio imetumika ila refa angetumia busaraIna maana kipa asingemgusa, Mzize angeufikia ule mpira?
Na azizi ki?Huyu Mzinze ni De Bryune mtupu!
Maana unaweza kujiuliza hata hiyo contact kama kweli ilitokea.Hapana asingeufikia mkuu, hapo ni sheria tu ndio imetumika ila refa angetumia busara
Ni Haland mtupu kasoro nywele tu .Mzinze nae ni Debruyne
Sijasema wa Buza.
Yamga wana de buruine wawiliMzinze nae ni Debruyne
Sijasema wa Buza.
Lakini wote kutoka BuzaaaYamga wana de buruine wawili
Maalumu kwa mechi na madundukaKwani Yanga walimsajili Doumbia kwa ajili ya kusugua benchi?
Yaani hata mechi kama hizi bado tu anawekwa benchi, na mpaka dakika 90 zinaisha hata kucheza hachezi!!
Mzize tumekubalia ni Haland kasoro nywele tu na hilo linafahamika au Haland mwenyewe ila kavaa kinyagoYamga wana de buruine wawili
[emoji849]Gooooooooooaaaaal