John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,137
- 2,147
Huyo ni chawa wa Mudi. Maana mpaka kufikia kuweka avatar yake, unaona kabisa bila ya Mudi, angekuwa muda huu yuko huko nyumbani kwao Iramba akila ugali kwa sukari.HIli la sasa naomba tumpe yule mwenye Avatar ya Mo ... OKW BOBAN SUNZU hiko kitufe cha DISLIKE jifunze matumizi yake π€£π€£π€£π€£π€£π€£
π€£π€£π€£ UmbwaaaaBando ni tatizo mkuu Wananchi wengi vipato duni
Ni kama nyinyi tu ile jana mlipofanya sherehe kwa kuifunga timu ya ligi ya chini.Ugari & Sugar fc...... Watatamba kama wamewafunga Raja
Huyu mtu mbona hapangwi!Natamani Doumbia apate hata dakika chache naye acheze.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aya Mwananchi nimekubali mi ni umbwa. Nenda zako sasa ukale ugali+sukari[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Umbwaaaa
Kwa kweli kakomaa nayo hiyo Avatar πππππ akikazana na kitu kama ruba. Sasa ni hiyo Dislike kila comment π€£π€£π€£ππ»ππ»ππ»Huyo ni chawa wa Mudi. Maana mpaka kufikia kuweka avatar yake, unaona kabisa bila ya Mudi, angekuwa muda huu yuko huko nyumbani kwao Iramba akila ugali kwa sukari.