FT | Yanga S.C 4-1 Prisons: Azam Federation Cup: Uwanja wa Chamazi, 03/03/2023

FT | Yanga S.C 4-1 Prisons: Azam Federation Cup: Uwanja wa Chamazi, 03/03/2023

HIli la sasa naomba tumpe yule mwenye Avatar ya Mo ... OKW BOBAN SUNZU hiko kitufe cha DISLIKE jifunze matumizi yake 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huyo ni chawa wa Mudi. Maana mpaka kufikia kuweka avatar yake, unaona kabisa bila ya Mudi, angekuwa muda huu yuko huko nyumbani kwao Iramba akila ugali kwa sukari.
 
Aziz Ki anauzwa bei gani?

Tajeni pesa mnayotaka hapa sasa hivi.
 
Mmeona alichofanya kipa. Soka letu kivyetu vyetu
 
Huyo ni chawa wa Mudi. Maana mpaka kufikia kuweka avatar yake, unaona kabisa bila ya Mudi, angekuwa muda huu yuko huko nyumbani kwao Iramba akila ugali kwa sukari.
Kwa kweli kakomaa nayo hiyo Avatar 😄😄😄😄😄 akikazana na kitu kama ruba. Sasa ni hiyo Dislike kila comment 🤣🤣🤣🙌🏻🙌🏻🙌🏻
 
Timu kubwa haitegemei mchezaji mmoja ili ishinde mechi zake
 
Back
Top Bottom