Kisinda sio mchezaji tegemezi kikosini naona bado hawaja kwenye fomu yake ninayoijua tokea alivyorudi hana makali kama kipindi kile alichoondoka afadhali Chama ameweza kubalance alivyorudi hakuna mpishano mkubwa wa kiufanisi na kipindi alichoondoka ,mimi Kisinda namuona yupo kwenye harakati za kurejesha makali yake maendeo mazuri nado nampa muda.Kisinda leo hakupewa nafasi kabisa au Nabi aliamua kumpumzisha kuhofia majeraha kwasababu ni star wa kikosi cha kwanza tegemeo kwenye mechi muhimu?
Una donge flani hivi limekukaba kwenye koo linakukera balaa.Penati 2
Kadi nyekundu 1
Tayari mshaanza kuona pengo la Feisal halipo
Sasa mbona baada ya mechi ulimtaja Feisal?Toka amekacha kuja kucheza, hatujapungukiwa na kitu. So akiwepo, asiwepo yote ni sawa.
Pia hii ilikuwa ni mechi ya Yanga na Prisons...
Haikuwa Yanga dhidi ya Feisal wala Madunduka FC 😄😄😄😄😄😄
Kwa ukame huu bila majeraha ya General Phiri, tungekuwa tunaongea habari zingine.Nani anaongoza kwa ufungaji?
Kwanini?Una donge flani hivi limekukaba kwenye koo linakukera balaa.
So unashauri azidi kupewq muda?Kisinda sio mchezaji tegemezi kikosini naona bado hawaja kwenye fomu yake ninayoijua tokea alivyorudi hana makali kama kipindi kile alichoondoka afadhali Chama ameweza kubalance alivyorudi hakuna mpishano mkubwa wa kiufanisi na kipindi alichoondoka ,mimi Kisinda namuona yupo kwenye harakati za kurejesha makali yake maendeo mazuri nado nampa muda.
Muda mwalimu mzuri mpaka msimu ukiisha muafaka wake utaamuliwa vizuri.So unashauri azidi kupewq muda?
Mechi muhimu unapenda aanze?Muda mwalimu mzuri mpaka msimu ukiisha muafaka wake utaamuliwa vizuri.
Aden Rage yukwapi ajengewe sanamu lake pale KARIAKOO?[emoji28]4 zitafika kweli leo?
Nenda CAS haki ipo hukoKuna furaha fulani unapata unaposhinda kwa haki bin haki na siyo kwa njia za janja janja. Huo ndiyo mtazamo wangu wa maisha.
[emoji38]Goli la kiufundi sana.. Last time mgoli kama huu nimeshuhudia kwenye kombe la dunia likifungwa na Lionel messi.
CLEMENT MSIZE 1 NI SAWA NA BALEKE 19
Una nongwaKwanini?
Yanga wabishi sana nyie na mnapenda ushindani wa kijinga. Mmeenda mapumziko mkasema sasa tusipofunga 4 kama mnyama si tutadharaulika?Aden Rage yukwapi ajengewe sanamu lake pale KARIAKOO?[emoji28]
Nomgwa ya nini?Una nongwa
Pili pili usiyoila inakuwashia nini we Makolokolo?Mi bado natafakari hii dhana ya umoja inavyofanyika sipati jibu
Mkifungwa automatically wote mnapotea, mkirudisha wote mnarejea
Nachojiuliza mimi, ni huwa mnaambizananga kuwa tupotee au kila mmoja anakimbia kwa utashi wake?
Nongwa ni kuumizwa na ushindi wa yangaNomgwa ya nini?
Siumizwi ila sipendi tu na naelewa nawe hujisikia hivyo hivyo Simba ikishindaNongwa ni kuumizwa na ushindi wa yanga
PumbavuWapi metacha mnata?
Wapi mamadou Doumbia?
Kivyetuvyetu.