FT | Yanga S.C 4-1 Prisons: Azam Federation Cup: Uwanja wa Chamazi, 03/03/2023

Nyie ni Runners, hamjawahi onekana kwenye uzi kipindi timu yako ina safa
Mimi nilishasema siwezi nika concentrate kuangalia mpira huku huku najibishana na vimburukutu huku JF. Sina kipaji cha kufanya ivyo kama mnaweza nyie hongereni
 
Nyie ni Runners, hamjawahi onekana kwenye uzi kipindi timu yako ina safa
Most of the time nakuja kutoa best wishes kwa timu yangu halafu naenda kuangalia mpira. Mfano game ya Monastir kabla haijaanza nilitoa maoni ilipofika halftime nikaja na game ilipoisha. Sasa nyie mnatakaga tufanye kama mnavyofanya nyie kutwa upo huku una concentrate vip halafilu pia wanawake ndio wana vipaji ivyo kufanya hata mambo matatu kwa wakati mmoja
 
Mimi nilishasema siwezi nika concentrate kuangalia mpira huku huku najibishana na vimburukutu huku JF. Sina kipaji cha kufanya ivyo kama mnaweza nyie hongereni
Mbona hapa unabishana?

Na sio mara ya kwanza wewe kubishana humu, mara kibao tunakuona kwenye mabishano ila tuna kausha kwasababu tunajua ndio maana halisi ya mjadala
 
Most ni hypocrites
 
tumepiga mabwana zao
tff tuleteeni simba tumemiss kumfumua manula
 
Yanga aecheza na wale wagosi walikuja kwa mafungu Dar wangepigwa 7
 
Mbona hapa unabishana?

Na sio mara ya kwanza wewe kubishana humu, mara kibao tunakuona kwenye mabishano ila tuna kausha kwasababu tunajua ndio maana halisi ya mjadala
Mkuu hujanielewa. Nilikua nazungumzia kubishana wakati mpira unaendelea sikua na maana wakati kukiwa hakuna mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…