Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
PumbavuNongwa ni kuumizwa na ushindi wa yanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PumbavuNongwa ni kuumizwa na ushindi wa yanga
😂😂😁We naye kumbe Uto?
Mambo yako?Kausha kabla hatujamwita Raja...
Scars Hajakujibu huu ujumbe na sidhani kama atakujibu kwa akili yake ilivyo nukta [emoji2].Kwahiyo nyinyi mnavyochezaga pungufu na timu pinzani, mnapopata penalt huwa linakuwa pengo la nani?
Mlikua mnaombea sana Yanga ifanye vibaya ili mpate kumpa kichwa feisal,mnavyoumia nyinyi ni zaidi ya maumivu anayopata feisal Yanga inaposhindaSasa mbona baada ya mechi ulimtaja Feisal?
Mimi nilishasema siwezi nika concentrate kuangalia mpira huku huku najibishana na vimburukutu huku JF. Sina kipaji cha kufanya ivyo kama mnaweza nyie hongereniNyie ni Runners, hamjawahi onekana kwenye uzi kipindi timu yako ina safa
Most of the time nakuja kutoa best wishes kwa timu yangu halafu naenda kuangalia mpira. Mfano game ya Monastir kabla haijaanza nilitoa maoni ilipofika halftime nikaja na game ilipoisha. Sasa nyie mnatakaga tufanye kama mnavyofanya nyie kutwa upo huku una concentrate vip halafilu pia wanawake ndio wana vipaji ivyo kufanya hata mambo matatu kwa wakati mmojaNyie ni Runners, hamjawahi onekana kwenye uzi kipindi timu yako ina safa
Mbona hapa unabishana?Mimi nilishasema siwezi nika concentrate kuangalia mpira huku huku najibishana na vimburukutu huku JF. Sina kipaji cha kufanya ivyo kama mnaweza nyie hongereni
Most ni hypocritesMost of the time nakuja kutoa best wishes kwa timu yangu halafu naenda kuangalia mpira. Mfano game ya Monastir kabla haijaanza nilitoa maoni ilipofika halftime nikaja na game ilipoisha. Sasa nyie mnatakaga tufanye kama mnavyofanya nyie kutwa upo huku una concentrate vip halafilu pia wanawake ndio wana vipaji ivyo kufanya hata mambo matatu kwa wakati mmoja
Mkuu hujanielewa. Nilikua nazungumzia kubishana wakati mpira unaendelea sikua na maana wakati kukiwa hakuna mpiraMbona hapa unabishana?
Na sio mara ya kwanza wewe kubishana humu, mara kibao tunakuona kwenye mabishano ila tuna kausha kwasababu tunajua ndio maana halisi ya mjadala
Kwani African sports mlipishana?mnapishana