Isingekuwa chenga ningeisema?
Sakho butu ambaye hufunga goli 1 baada ya mechi 6, hafai hata kuchezea timu za michangani [emoji3]Huyu Musondo afya yenyewe mgogoro halafu anajaribu kufunga magoli ya Sacko. Tutamsafirisha kwao kwenye sanduku, we muache.
Hapo umezungumzia busara ya kiuamuzi, japo sheria haisemi hivyo na siyo lazima refarii atumie busara wakati akitekeleza maamuzi yake uwanjani. Wewe ni shabiki wa mbumbumbu uliyejificha kwenye kivuli cha refariiWe chizi Moroco toka lini ikacheza kombe la Azam! Mi ni refa by professional! Ile haikustahili kuwa kadi ukizingatia mchezaji tayari alikuwa na kadi ya kwanza! Kwa kuwa haikuwa faulu ya kuhatarisha ilibidi mwalimu atoe faulu ya kawaida. Kenge wewe
Nikwasababu tu washambuliaji wa Yanga hawakuwa makini ila mechi ilitakiwa kuusha first halfKushikilia bomba hapa na Moro?
Unawasiwasi wakawa kama nyinyi kule Mali wakashindwa kuwan mikazo?
Maskia nafasi zilikuwa 3 alizokutananazo MusondaPamoja na kukosa umakini kwa Msonda lakini huyu kipa wa prisons ni man of the match
Ukiachana na Lawena Msonda kuna nani mwingine aliyekosa?Nikwasababu tu washambuliaji wa Yanga hawakuwa makini ila mechi ilitakiwa kuusha first half
Ana madhaifu yake ila magoli yake hayana ubishi, CAF siyo wajinga.Sakho butu ambaye hufunga goli 1 baada ya mechi 6, hafai hata kuchezea timu za michangani [emoji3]
Kuelimisha Makolokolo/Mbumbumbu/Makelele/Malalamiko/Mikia/Manyaunyau/Kolowizards/Ngada/Zuwena/Kinyume nyume FC ni mpaka ujitoe ufahamu Chifu [emoji23]Umewahi kucheza hata mpira wa makaratasi? Ile ni second yellow card baada ya kadi ya njano aliyompiga teke la kiuno Moroco,kama huko kwenu faulo ya Kisinda siyo yellow card basi mpo old stone age
We bwege ni wapi nimetaja neno busara! Pichu weweHapo umezungumzia busara ya kiuamuzi, japo sheria haisemi hivyo na siyo lazima refarii atumie busara wakati akitekeleza maamuzi yake uwanjani. Wewe ni shabiki wa mbumbumbu uliyejificha kwenye kivuli cha refarii
Post no 11 mbona nimeelezea. Musonda ni Yikpe aliyechangamka[emoji23][emoji23]Jamani naambiwa hapa Musonda amepata nafasi tatu za wazi lakini amekosa magoli
Mleta mada alifanya siri
Unamsitiri?
Si bure labda watakuwa wanawashwa washwa hao [emoji16]Kadi wanapewa prison wanaopata maumivu ni mbumbumbu imekaaaje hii?
Matusi ya nini? Au ndio kusema rage hakukosea kuwaita mbu3?We bwege ni wapi nimetaja neno busara! Pichu wewe
Napenda sana kusikia vitu vya namna hiiPost no 11 mbona nimeelezea. Musonda ni Yikpe aliyechangamka[emoji23][emoji23]
Sako sio kazi yake kufungaSakho butu ambaye hufunga goli 1 baada ya mechi 6, hafai hata kuchezea timu za michangani [emoji3]
Kuna goli la ajabu sana litakuja kufungwa hapa.Umekua mtabiri tamb tamb
Askari wa Zanzba wewe!Matusi ya nini? Au ndio kusema rage hakukosea kuwaita mbu3?
Kadi wanapewa prison wanaopata maumivu ni mbumbumbu imekaaaje hii?
Mbona goli la acrobat la Mayele kwenye NBC PL hulizungumzii?Ana madhaifu yake ila magoli yake hayana ubishi, CAF siyo wajinga.