FT: Yanga SC 0 - 0 KVZ FC | Mapinduzi Cup | New Amaan Stadium | 04.01.2024

Kundi B la Simba,

-JKU hadi sasa inaongoza ligi kuu ya Zanzibar na imewahi kushinda makombe ya ligi kuu
-APR tangu 2020 imechukua makombe manne mfululizo ligi kuu ya Rwanda
-Singida FG ni timu ya nne kwa ubora kwenye ligi kuu ya Tanzania Bara
 
Jana Simba mmepiga boli
 
unamaanisha hata watani zetu tulivo wapiga 5 walikuwa ni chekechea 😂😁😁😁🤣🤣🤣
Sie form 4. Maana hata sie tulishawanywesha 6. Hizi 4 ndio usiseme. Si unajua la Saba wanavyojiona Wakubwa ndio maana Wana kelele nyingi. Sie kwenye kelele tulishapita😂😂
 
Leo lazima Yanga tupige mtu 5 [emoji2772]...

Kuna watu watanuna bila sababu [emoji2]

KAMA TUNAWEKERA SEMENIIIIIIIII [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kundi B la Simba,

-JKU hadi sasa inaongoza ligi kuu ya Zanzibar na imewahi kushinda makombe ya ligi kuu
-APR tangu 2020 imechukua makombe manne mfululizo ligi kuu ya Rwanda
-Singida FG ni timu ya nne kwa ubora kwenye ligi kuu ya Tanzania Bara
Tuwakumbushe pia huyu Singida FG alimpiga APR goli 3.
akampiga JKU goli 4.

Sisi tumemcharaza.

Simba ushindi ni Timu ya tofauti sana.
 
Wapeni fungu mapema wasije kuwasumbua kama wa juzi
Huenda na wewe ulipewa fungu la 5 😂 ndo maana ulikula 5
20231216_224337.jpg
 
Back
Top Bottom