FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Sundowns wanacheza mchezo wa woga bila sababu. Hawa Yanga weupe sana kama jamaa wangewapelekea moto unaotakiwa. Sijui kwanini wanapoozesha mpira nyuma bila sababu za maana.
 
Eeeh Mwenyezi Mungu tunakushukuru kwa yote mpaka sasa kelele hakuna kabisa..
 
Kipindi cha kwanza kimekuwa kizuri kwa Yanga, Gamondi achange vizuri karata za kipindi cha pili.
 
Heko yangaπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’š
45' zakwanza zimeisha half time sasa

Cc Smart911
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…