Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Mnaenda kuleta mtafaruku majumbani sikukuu kesho isilike kwa raha, kipigo heavyLeo ndiyo siku Wananchi wanarudisha heshima ya nchi iliharibiwa jana
π π π Nlishtuka mbn kama avatar yangu hiiView attachment 2949138
Washabiki wa yanga leo
Kabisa mkuuMungu ibariki Tanzania
Mungu ibariki Young African
Na iwe kheri mkuuKitakachotokea Chochote Heri
Mbele daima, Nyuma kuna mwoko
Ubuntu BothoLeo tunaenda kuipa heshima inchi hii, baada ya vibaka flani kuitia haibu.
Moderator upo!?..tukiashiria kwamba wewe ni mwanamke utupige ban,kana kwamba ulishawahi nadi jinsia yakoNasisi tulisema hivyo hivyo
Kwa mtazamo wako auMpira wa Midomoni Majukwaani na Hamasa.
UWANJANI 0
LEO TAIFA LINAENDA KUWBIKA TENA