FT: Yanga SC 1-0 Geita Gold FC | NBC Premier League | Azam Complex | 14.03.2024

FT: Yanga SC 1-0 Geita Gold FC | NBC Premier League | Azam Complex | 14.03.2024

ASANTE YANGA

TIMU IMECHEZA KIMKAKATI SANA, GOLI MOJA POINT 3, TUNAONGOZA LEAGUE

Nimeona Leo wachezaji hawakutaka kutumia nguvu Sana kwa sababu ya michezo migumu inayofuata Azam (wakamiaji) na Mamelodi..
Nimependa Approach ya Gamondi Miguel
 
Kumbe mna enjoy tano
🐸🐸....... "5 sio muhimu sana..." Ila mmezitafuta hadi mkatenguliwa miguu na hamkuzipata 🤣🤣

Hamna tofauti na rabbit aliyerukia ndizi ili apate mlo, sasa alipozikosa ndizi akasema..... "sizitaki hizi mbichi.."

🐸🐸Tukutane kwa Mkapa jpili.
 
ASANTE YANGA

TIMU IMECHEZA KIMKAKATI SANA, GOLI MOJA POINT 3, TUNAONGOZA LEAGUE

Nimeona Leo wachezaji hawakutaka kutumia nguvu Sana kwa sababu ya michezo migumu inayofuata Azam (wakamiaji) na Mamelodi..
Nimependa Approach ya Gamondi Miguel
Mpira unaujua mkuu hii game tumeicheza kwa akili mingi tulikua na haja ya point tatu lakini vile vile kichwani tulikua na umakini mkubwa wa kuto ongeza majeruhi kwenye timu ndio maana ujaona full energy ya mchezaji mmoja mmoja kama ulivyozoea kuiona Yanga..
Ameingia Pacome lakini hata uchezaji wake umeona ni wa maelekezo Kwa ajiri ya kutunza energy ya tough games zinazokuja..
 
Back
Top Bottom