Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Leo zile 5 zimekwama wapi πΈπΈYaani Yanga asipofunga mtu 5 inakuwa habari πππ Kweli yanga baba lao
Leo limekwama wapi kwa hao wakulima wa mananasi?Hili Kono la nyani halikuwacha salamaView attachment 2934589
Kwani wewe ni single?Weuwee... Usiku huu ..
Au uko single..π€π€π€π€£π€
Hiyo ni timu ngumu, timu nyepesi zinakula 5πLeo limekwama wapi kwa hao wakulima wa mananasi?
Timu ipo mkiani halafu unasema ni timu ngumu ππHiyo ni timu ngumu, timu nyepesi zinakula 5π
Kesho vs MashujaaWale ndugu zetu wakamilisha ratiba wanacheza lini?
Ndio maana imefungwa moja kwa ugumu wake,lakini wewe ukala 5GTimu ipo mkiani halafu unasema ni timu ngumu ππ
Kuanzia Sasa utaona yanga inaanza kucheza hovyo ili kuwapoteza maboya kama alivyofanya kwa Belouzidad ilifikia hatua team ika draw hadi na kageraAnafanyaje?
Dunia hii! Wakifunga 5 ati wamehonga, au wamenunua wachezaji au wamefunga timu bovu etc. Wakifunga moja ati kamoja tu. Hakuna jemaKimoja nacho kinatia mimba!πππ€ΈββοΈ
Mbona iliyokuwa nafasi ya pili ilipigwa mkono? Inawezekana iliyoko mwishoni ni Bora kuliko iliyopigwa Kono la nyaniTimu ipo mkiani halafu unasema ni timu ngumu ππ
Kumbe 5 ni swala la kawaida sana Yanga, asipofunga unashangaa inakuwa habari ππ ogopa sana timu ya aina hii πLeo zile 5 zimekwama wapi πΈπΈ
Itacheza ile iliyo kupiga [emoji2772]Hii ndiyo timu inatarajia kucheza na Mamelod!!?
Kumbe mna enjoy tanoLeo 5 zimekwama wapi [emoji196][emoji196]?
πΈπΈ....... "5 sio muhimu sana..." Ila mmezitafuta hadi mkatenguliwa miguu na hamkuzipata π€£π€£Kumbe mna enjoy tano
Poa muzee wa sizitaki hizi mbichi ππKumbe 5 ni swala la kawaida sana Yanga, asipofunga unashangaa inakuwa habari ππ ogopa sana timu ya aina hii π
Suluhu yupi?Game inaisha suluhu hii
Mpira unaujua mkuu hii game tumeicheza kwa akili mingi tulikua na haja ya point tatu lakini vile vile kichwani tulikua na umakini mkubwa wa kuto ongeza majeruhi kwenye timu ndio maana ujaona full energy ya mchezaji mmoja mmoja kama ulivyozoea kuiona Yanga..ASANTE YANGA
TIMU IMECHEZA KIMKAKATI SANA, GOLI MOJA POINT 3, TUNAONGOZA LEAGUE
Nimeona Leo wachezaji hawakutaka kutumia nguvu Sana kwa sababu ya michezo migumu inayofuata Azam (wakamiaji) na Mamelodi..
Nimependa Approach ya Gamondi Miguel