FT: Yanga SC 1-0 KMC FC | NBC Premier League | Azam Complex | September 29, 2024

FT: Yanga SC 1-0 KMC FC | NBC Premier League | Azam Complex | September 29, 2024

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
18,585
Reaction score
16,780
Match Day
🏆 #NBCPremierLeague
⚽️ Young Africans SC🆚KMC FC
📆 29.09.2024
⏰ 2100hrs
🏟 Azam Complex
20240929_200547.jpg


20240929_085153.jpg
#Daimambelenyumamwiko#

KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA LEO.
20240929_201908.jpg


KIKOSI CHA KMC
20240929_204133.jpg


UPDATES....
04'
Yanga wanapata Goli kupitia kwa Max Mpia Nzengeli
1-0

19'
Yanga wanapata kona ya kwanza.
Inaanzwa kona fupi hapa, haileti impact kwa KMC.

21'
Kona ya pili kwa Yanga, anapiga chama inaoshwa na KMC.

23'
Free kick wanapata Yanga nje kidogo ya 18 ya KMC.
Anapiga Aziz K inatoka nje.
Goal Kick
 
Back
Top Bottom