Timu sii mnayo sio kama wakati ule wa papa zahera na mchezaji wale molinga nchimbi 🤣🤣🤣🤣Yanga inapiga yoyote anaekuja mbele, ishu inabaki nani atapigwa ngapi.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu sii mnayo sio kama wakati ule wa papa zahera na mchezaji wale molinga nchimbi 🤣🤣🤣🤣Yanga inapiga yoyote anaekuja mbele, ishu inabaki nani atapigwa ngapi.....
Duu ila saa 3 mbona mbali sanaAzam Complex Chamanzi, Mbele kidogo ya Mbagala,
Panda gari za Mbande.
Kila la kheri Yanga na Dodoma jiji kwenye mechi za leo. Nawatakia ushindi.Yanga anaweza ku draw hii game
kmc 1 yanga 0Yanga atarekebisha makosa ya mechi iliyopita ,walikosa magoli mengi,nawaonea huruma kmc ,Leo anakula goli 6
Naam Leo tunashinda nyingi sana
Ona huyu nae Deborah mavamboYanga anaweza ku draw hii game
Mtakuwa bora kabla hamjakutana na sisi 🦍 Mashujaa!!Kila la heri Young Africans Sports Club, Timu pendwa ya wananchi.
Nyie watoto wadogo tutawatandika mshike adabuMtakuwa bora kabla hamjakutana na sisi 🦍 Mashujaa!!