FT: Yanga SC 1-0 KMC FC | NBC Premier League | Azam Complex | September 29, 2024

Yanga wananikosea sana kwa ushindi huu wa goli moja moja
 
Reactions: Tui
Mkuu Dube, Mzize anayetakiwa na Widadi, Otos Baleke, Musonda kweli unasema hakuna striker wa maana??
Huyu mzize ni kama homa za vipindi
Kuna wakati utamkubali anacheza kama Drogba halafu kuna mechi anacheza kama mchezaji wa UMITASHUMTA
 
Reactions: Tui
Dakika 4 zimeisha

Azizi Ki hadi mipira ya kona inajitokea nje yenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…