FT: Yanga SC 1-0 KMC FC | NBC Premier League | Azam Complex | September 29, 2024

FT: Yanga SC 1-0 KMC FC | NBC Premier League | Azam Complex | September 29, 2024

mkuu sa tatu kweli unalala?
Kesho ni jumatatu siku ya kazi na foleni yake wote tunaijua.

Sasa unapochelewa kulala maana yake unajiweka kwenye posotion ya kulala masaa machache ili upate timing ya kuamka mapema

Kwa hiyo unatakiwa uwe na sababu ya msingi ni kipi hasa cha maana cha kukufanya ulale masaa machache.
 
Kocha ajue kua watu washamstukia mbinu yake, hivi vitimu vitajua ili Yanga isikuonee we paki bus kwasababu yanga hawana Straiker wa maana
 
Back
Top Bottom