FT: Yanga SC 1-0 KMC FC | NBC Premier League | Azam Complex | September 29, 2024

Wanashinda ila Furaha hakuna..?
Unataka furaha? Njoo uwanjani siku hiyo
Screenshot_20240929-230405.png
 
Makolo na yasio jua mpira ndio utakuta yanalalama , wachezaji sio Maroboti na kila timu unatafuta ushindi.
Hamisa fc leo mnasema sio maroboti..kwanza ni mashabik wenu ndio wanalalama niko nao hapa wanatukana kila aina ya matusi..[emoji23][emoji23]
 
Halafu mashabiki wao ni kama wameanza kukata tamaa na Yanga .....wameshindwa kuujaza uwanja wa Azam....
 
👍🏿
 
Attachments

  • ADB08732-CE87-446E-AC97-C9317073D034.jpeg
    ADB08732-CE87-446E-AC97-C9317073D034.jpeg
    1.3 MB · Views: 1
Halafu mashabiki wao ni kama wameanza kukata tamaa na Yanga .....wameshindwa kuujaza uwanja wa Azam....
Tumeanza kuugua ugonjwa wa Simba Sc
Hatuendi uwanjani🤣
Pira papatu papatu
Japo hii mechi ilitakiwa ichezwe saa 9 imeakuaje saa 3 usiku?
 
Makolo na yasio jua mpira ndio utakuta yanalalama , wachezaji sio Maroboti na kila timu unatafuta ushindi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aseeeeh kweli utopoloo mmevurugwaaa.
 
Back
Top Bottom