FT: Yanga SC 1-0 Namungo FC | NBC Premier League | Azam Complex | 20.09.2023

chama konokono

Senior Member
Joined
Apr 27, 2023
Posts
103
Reaction score
226
Mabingwa watetezi wa ligi kuu nchini Tanzania Young Africans Leo wanajitupa dimbani kumenyana na Namungo Fc katika mchezo wa ligi ya NBC.

Ikumbukwe katika michezo miwili iliyopita ya ligi Yanga wametoa vipigo vikali vya goli 5-0 kwa timu za Kmc na Jkt Tanzania, Je 5G itaendelea tena Leo?

Mchezo huu utapigwa mishale ya saa 1.00 usiku na utarushwa na Azam Sports1 HD

Timu zote mbili tayari zipo uwanjani na muda wowote refarii atapuliza kipenga kuashiria kuanza kwa kabumbu

00" Mpira umeanza Yanga ndio wameanzisha mpira



Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
---


Dakika ya 88 Mudathir Yahya anaitanguliza Yanga
 
"Master" Stephane Ki Aziz, "Skudu" Mahlatse Manoka Makudubela na "Professor" Pacome Peodoh Zouzoua watafanya mabalaa makubwa kama wakicheza pamoja leo, ni 5G nyingine..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…