Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa unavoona mpira hapa kuna draw kweli ndugu yangu???Yanga wamezoea bwerere...
Leo wataona Draw ya Kwanza
Naaaaam [emoji172][emoji169][emoji91]Tukumbuke daki ya 12 Wananchi wote watasimama hapa chamazi complex kwa dakika 1 ili kutoa Respect kwa mashabiki wote walioenda kigari kuisapoti Yanga
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Ngumu sana....Goli tano zinanukia hapa.
Kila la heri wananchi
Hata Nabi akijichanganya na FAR Rabat yake watapigwa kama [emoji1623]Yanga watampiga Cedric?
Yaani hata wakipaki meli kipigo kipo palepaleNamungo wakitaka wasipigwe wabane hivi hivi