Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Watang'oa Moja wapo la upande wowote.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watang'oa Moja wapo la upande wowote.....
Watakoma leo balaa litawakuta"Master" Stephane Ki Aziz, "Skudu" Mahlatse Manoka Makudubela na "Professor" Pacome Peodoh Zouzoua watafanya mabalaa makubwa kama wakicheza pamoja leo, ni 5G nyingine..
Watasema leo yani kwa matokeo ya leo wakaoumia ni wengi kuliko mashabiki wa namungoWatakoma leo balaa litawakuta
NAMUNGO2-3YANGAYanga 5-0 Namungo
Kila la heri kwa wauaji wa kusiniMabingwa watetezi wa ligi kuu nchini Tanzania Young Africans Leo wanajitupa dimbani kumenyana na Namungo Fc katika mchezo wa ligi ya NBC..
Ikumbukwe katika michezo miwili iliyopita ya ligi Yanga wametoa vipigo vikali vya goli 5-0 kwa timu za Kmc na Jkt Tanzania, Je 5G itaendelea tena Leo?
Mchezo huu utapigwa mishale ya saa 1.00 usiku na utarushwa na Azam Sports1 HD View attachment 2755991
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
View attachment 2756132