FT: Yanga SC 1-0 Namungo FC | NBC Premier League | Azam Complex | 20.09.2023

Hakuna cha tano tano wala nini!! Ni wepesiiiii!!!!!! Sema Kaze kawalegezea mwishoni kwa kuwazuia wachezaji wake kushambulia ili awapatie ujasiri wa kushambulia bila hofu ya counter attack!! Hii inaitwa asanta KAZE!!!
 
Buhahahahahahahhaa
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ 🐸 🐸 🐸 🐸 🐸 🐸 🐸
 
Namungo Fc, na mechi zijazo mcheze hivi hivi. Siyo mnazikamia Yanga na simba tu. Mara nyingi mkicheza na watu wa level zenu, huwa hamchezi kabisa mpira mkubwa kama mlioupiga leo.
Nawasifu sana Namungo wameweza sana kumantain.
Unakumbuka game ya KMC?
walianza hivi kama Namungo wakapoteza consistency wakala 5.

Leo Namungo wamepiga total football na ikawapunguzia idadi kubwa ya magoli.

Wakicheza hivi na timu kama Simba sio rahisi sana kuwashinda.

Na hata mashambulizi walikuwa wanayapeleka.
 
Kwa Yanga hii ukipata sare ni ushindi tosha. Naona Namungo kwao sare inawatosha. Maana wanajitahidi kweli kupoteza muda ili muda uis

Inaitwa ' Kushinda tumeshinda' ILA cha moto tumekiona...!

Ashukuliwe Line 2 kwa kutonyoosha Kibendera cha Offside

Karibuni kwa SambaLoketo hapo Kesho...
Naaaam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…