Bado muda mtasemaMaumivu yakizidi muone daktari. Point 3 muhimu
Mkuu hilo mbona tuliliona kitambo sana ila bahasha nazo hazikuwa nyumaYanga haikuwa na ubora wowote, kikubwa walikuwa na hali ya ushindi pamoja na morali ya upambanaji ndo vilivyokuwa vinawabeba,
Sasa taratibu pumba zinatengana na mchele.
Yaani walikuwa wanaomba mpira uishe.
Mamaeee
Uhalisia timu yoyote ambayo haina Straiker wazuri, ukipaki basi umewamaliza.Nashukuru umeelewa pia kama mnakuzwa penye hamna
Hizo ni msg tu, ila data na call inasoma 3 pointsKutoka 5g hadi 1g!!!!! Utopolo inaporomoka kwa kasi ya 5g
Yanga mbovu bwana wanakuzwa tu na mediaUhalisia timu yoyote ambayo haina Straiker wazuri, ukipaki basi umewamaliza.
Hawana timu wala wachezaji wazuri ila ndo hivyo tu propaganda zina wabebaBila kubebwa,na propoganda hawans timu hawa mwiko nyuma. Huu ni mwanzo tu pamoja na kigoli cha offside.
Vp hapoo!!Yaani Kwa Mara Ya Kwanza Nime ibetia yanga Na Inachana Mkeka hapa over 2.5 hamna
Story za mzunguko wa pili zimeisha?Mkuu hilo mbona tuliliona kitambo sana ila bahasha nazo hazikuwa nyuma
Kaka, ukweli mchungu, Yanga kuna bahat flan ivi, ni muda sasa tunajikuta tunakutana na timu eidha hazijajiandaa au dhaifu.Namungo Fc, na mechi zijazo mcheze hivi hivi. Siyo mnazikamia Yanga na simba tu. Mara nyingi mkicheza na watu wa level zenu, huwa hamchezi kabisa mpira mkubwa kama mlioupiga leo.
Kumbee wee ni Yanga?? LolNamungo wanataka kunipa stress saa hizi, dah!
Hajui mpira huyoTukaribishane mtani kesho kuangalia pira papatu papatu.
Ndugu, offside iko wapi pale!! Hivi ulishawahi kucheza mpira kweli? Leo Namungo wamecheza vizuri.Inaitwa ' Kushinda tumeshinda' ILA cha moto tumekiona...!
Ashukuliwe Line 2 kwa kutonyoosha Kibendera cha Offside
Karibuni kwa SambaLoketo hapo Kesho...
Tunahitaji mshambuliaji wa kueleweka, kwingine siyo mbaya sana.Kaka, ukweli mchungu, Yanga kuna bahat flan ivi, ni muda sasa tunajikuta tunakutana na timu eidha hazijajiandaa au dhaifu.
Yanga bado haiko vizuri kama tunavyo jiaminisha au kuaminishwa na wachambuzi.
Tunasafari ngumu sana pale kwenye Makundi ya Club bingwa, mark my words.