FT: Yanga SC 1-0 Namungo FC | NBC Premier League | Azam Complex | 20.09.2023

Nyie muongoze ligi gani bhn na timu lenu bovu plus na kipa lenu Ayubu lisilojua kudaka kila mechi kuruhusu magoli..
Huo mpira wenu mtazifunga timu underdog ila hakuna timu ya maana mtaifunga maana zile nafasi walizokosa Namungo Kibu Denga hakuachi.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kaka, ukweli mchungu, Yanga kuna bahat flan ivi, ni muda sasa tunajikuta tunakutana na timu eidha hazijajiandaa au dhaifu.

Yanga bado haiko vizuri kama tunavyo jiaminisha au kuaminishwa na wachambuzi.

Tunasafari ngumu sana pale kwenye Makundi ya Club bingwa, mark my words.
Mpira wa bahati au ushindi wa bahati unajulikana, ni magoli yanayotokea pasipo mipango yoyote ilimradi mpira umepigwa mbele. Lakini ukiangalia mechi zote alizocheza Yanga hadi sasa unaona timu inacheza kwa mipango na hata magoli wanafunga wanafunga kwa mipango na sio bahati nasibu. Kitu ambacho inaweza kuwa mapungufu ni kukosa striker wa maana kuzitumia nafasi zinazotengenezwa.

Sasa hivi timu kinachofanya ni kushikilia bomba mwanzo mwisho kwa kupaki basi, jambo ambalo timu inapaswa kuhimili kwa dakika zote tisini. Tuliona Azam alifanya hivyo ila dakika 80 kashindwa kuhimili kufikisha dakika 90
JKT nayo iliingia na mfumo wa kupaki bus ila alishindwa kuhimili mpaka mwisho
Simba aliweza kushikilia bomba hadi dakika 90
Al Merrikh nao walifanya hivyo hivyo ila wakashindwa kufikisha dakika 90
Namungo leo kajitahidi kushikilia bomba ila kashindwa kuhimili.

Huu mfumo ukisharuhusu tu goli kabla ya dakika 70 ndipo advantage ya Yanga kukufunga goli zaidi ya moja.

Kama unafuatilia mpira wa Yanga kwa msimu huu utagundua wachezaji wa Yanga hawachoki, hawapunguzi fighting spirit mpaka wapate jambo lao na hapa ndipo linapokuja uwezo wa timu kuweza kuhimili kupelekewa moto kila muda kila muda
 
Yanga timu nzuri ila bado tunahitaji finisher mzuri, yaani striker mmoja mzuri anakosekana bado, pengo la Mayele linaonekana
 
Huo mpira wenu mtazifunga timu underdog ila hakuna timu ya maana mtaifunga maana zile nafasi walizokosa Namungo Kibu Denga hakuachi.
Umeongea kama vile mechi ya leo ndio mechi ya kwanza kucheza, Kibu alifunga magoli mangapi dhidi ya Yanga kwenye ngao ya jamii? Azam ni underdog?
 
Mpira wa bahati au ushindi wa bahati unajulikana, ni magoli yanayotokea pasipo mipango yoyote ilimradi mpira umepigwa mbele. Lakini ukiangalia mechi zote alizocheza Yanga hadi sasa unaona timu inacheza kwa mipango na hata magoli wanafunga wanafunga kwa mipango na sio bahati nasibu. Kitu ambacho inaweza kuwa mapungufu ni kukosa striker wa maana kuzitumia nafasi zinazotengenezwa.

Sasa hivi timu kinachofanya ni kushikilia bomba mwanzo mwisho kwa kupaki basi, jambo ambalo timu inapaswa kuhimili kwa dakika zote tisini. Tuliona Azam alifanya hivyo ila dakika 80 kashindwa kuhimili kufikisha dakika 90
JKT nayo iliingia na mfumo wa kupaki bus ila alishindwa kuhimili mpaka mwisho
Simba aliweza kushikilia bomba hadi dakika 90
Al Merrikh nao walifanya hivyo hivyo ila wakashindwa kufikisha dakika 90
Namungo leo kajitahidi kushikilia bomba ila kashindwa kuhimili.

Huu mfumo ukisharuhusu tu goli kabla ya dakika 70 ndipo advantage ya Yanga kukufunga goli zaidi ya moja.

Kama unafuatilia mpira wa Yanga kwa msimu huu utagundua wachezaji wa Yanga hawachoki, hawapunguzi fighting spirit mpaka wapate jambo lao na hapa ndipo linapokuja uwezo wa timu kuweza kuhimili kupelekewa moto kila muda kila muda
Sehemu nzuri ya kupima uwezo wa Yanga hii tunayoijadili sasa ni Kwenye Makundi ya club bingwa, ambapo atakutana na timu zinazofunguka na kuzuia na sio kushikilia bomba.

Kauli yako inamaanisha one side game, kwamba timu nyingine kazi yake ni kuzuia tu, which is not true.
 
falsafa hii ndio hufanya yanga washinde zaiikipindi cha pili
 
Umeongea kama vile mechi ya leo ndio mechi ya kwanza kucheza, Kibu alifunga magoli mangapi dhidi ya Yanga kwenye ngao ya jamii? Azam ni underdog?
Azam ni underdog ndio. Kibu hakufunga lakini mlifungwa.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Sehemu nzuri ya kupima uwezo wa Yanga hii tunayoijadili sasa ni Kwenye Makundi ya club bingwa, ambapo atakutana na timu zinazofunguka na kuzuia na sio kushikilia bomba.

Kauli yako inamaanisha one side game, kwamba timu nyingine kazi yake ni kuzuia tu, which is not true.
Timu zipi hizo labda uanze kuzitaja kabisa maana isijefika makundi ukaanza kuzikosoa timu zitakazocheza na Yanga kuwa ni dhaifu. Timu zipi ambazo unaona zikikutana na Yanga zitampa tabu.
Msimu uliopita maneno yalikuwa hivyo hivyo kila mechi anayoshinda Yanga kamfunga kibonde mpaka anaingia fainali. USMA akapambwa ila alipofungwa kwake mkamponda ni dhaifu nae ila ndiye bingwa wa CAF super league.
 
Back
Top Bottom