Afadhari umegundua haukuwa sahihi na kauli yako. Siku nyingine ujibu hoja kwa hoja sio unakuja na matusi au kashfa kisa tu umetofautiana hoja.Jikite kwenye mada, hamna tusi wala kejeli mpya unayoweza kuitoa. Kama wewe great thinker be logical 😀😀😀
Aliyeanza kutoka kwenye hoja ni nani kati yangu na wewe?