Afadhari umegundua haukuwa sahihi na kauli yako. Siku nyingine ujibu hoja kwa hoja sio unakuja na matusi au kashfa kisa tu umetofautiana hoja.Jikite kwenye mada, hamna tusi wala kejeli mpya unayoweza kuitoa. Kama wewe great thinker be logical πππ
Leta ushahidi kama mechi iliisha suluhu.Mechi iliisha kwa suluhu
Wamekosa Straiker....Yanga mbovu bwana wanakuzwa tu na media
Nakukumbusha kaka, hii ni club bingwa, mwaka jana alishiriki akatoka, mapeema! sasa anaenda makundi!Timu zipi hizo labda uanze kuzitaja kabisa maana isijefika makundi ukaanza kuzikosoa timu zitakazocheza na Yanga kuwa ni dhaifu. Timu zipi ambazo unaona zikikutana na Yanga zitampa tabu.
Msimu uliopita maneno yalikuwa hivyo hivyo kila mechi anayoshinda Yanga kamfunga kibonde mpaka anaingia fainali. USMA akapambwa ila alipofungwa kwake mkamponda ni dhaifu nae ila ndiye bingwa wa CAF super league.
Ushahidi huo, na ushahidi wa pili kama mtaani kwenu kuna mtu yeyote alipewa ela na kampuni za kubet kwa kuipa Simba ushindi basi njoo na mkeka wake ukioneaha bet won.Leta ushahidi kama mechi iliisha suluhu.
Bingwa alipatikanaje kama hakuna timu iliyofungwa?Ushahidi huo, na ushahidi wa pili kama mtaani kwenu kuna mtu yeyote alipewa ela na kampuni za kubet kwa kuipa Simba ushindi basi njoo na mkeka wake ukioneaha bet won.View attachment 2756374
Mashabiki maandazi HaoUlikuwa wapi kutoa comment kama hii kabla ya mechi!?
Pole kumbe ndio unataka ufundishwe mpira leo hii? Njoo na ela ya ada nikufundishe sheria mbalimbali za mpira eikiwemo na hili ikitokea hakuna mbabe ndani ya dakika 90 nini kinachofuata katika mechi ambazo lazima apatikane mshindi. Ila mechi ya ngao ya jamii iliisha kwa sare na ndio maana huwezi kukuta kuna mtu yeyote aliyebet ushindi kwa Simba akawin bet hiyo.Bingwa alipatikanaje kama hakuna timu iliyofungwa?
Labda Yanga mpaka amfunge nani utakubali?Mkuu tatizo sio magoli ila ni performance ya timu, yanga mbovu na ya kawaida mnoo ila inakuzwa tu na media na sijui ni kwa maslahi yapi
Acha kukariri na hiyo betting yako. Kwa hiyo hujawahi ona option ya Man city to win the league? Simba to win the FA cup? Kwa hiyo unafikiri alieweka simba to win the FA cup hakupata hiyo betting ? Nani kakuambia kila betting inahusu dk 90?Pole kumbe ndio unataka ufundishwe mpira leo hii? Njoo na ela ya ada nikufundishe sheria mbalimbali za mpira eikiwemo na hili ikitokea hakuna mbabe ndani ya dakika 90 nini kinachofuata katika mechi ambazo lazima apatikane mshindi. Ila mechi ya ngao ya jamii iliisha kwa sare na ndio maana huwezi kukuta kuna mtu yeyote aliyebet ushindi kwa Simba akawin bet hiyo.
Msimu uliopita walikua na wimbo wa timu dhaifu zipo shirikisho,mwaka huu wamebadili kibwagizo ,kumbe hata cl kuna timu dhaifu pia πππUsichojua ni kwamba hata kwenye kimataifa yanga imeshinda mechi nyingi ugenini kuliko timu yeyote africa, sasa subiri tucheze mechi tati ugenini tushinde halafu uje hapa tena
Hao Ni wapenzi wa rede ambao mabwana zao wanashabikia mpira basi na wao wamejikuta wanafuata mkumbo Bila kujua chochote kuhusu mchezo wenyeweAti Kuna watu wanasema ni offside sijui waliangalia kupitia nini.. mchawi ni mchawi tu
VP zile za Jini baleke ,alifunga nazo?Huo mpira wenu mtazifunga timu underdog ila hakuna timu ya maana mtaifunga maana zile nafasi walizokosa Namungo Kibu Denga hakuachi.
Hawajui hata pa kushikaKelele za chura hazizuii ng'ombe kunywa maji, najua makolo mmeumia na ushindi wa Yanga, endeleeni kubwabwaja sisi tupo kileleni mbumbumbu nyie.
Sasa ww Si ungejisema kua Ni koloNakukumbusha kaka, hii ni club bingwa, mwaka jana alishiriki akatoka, mapeema! sasa anaenda makundi!
Naomba tusibiri sio mbali, siwezi kutaja timu kwakuwa hawajapanga makundi, na mimi siwez ku bet.
Kauli ya mbumbumbu aliitoa aliyekuwa mwenyekiti wenu Ndugu RageπAfadhari umegundua haukuwa sahihi na kauli yako. Siku nyingine ujibu hoja kwa hoja sio unakuja na matusi au kashfa kisa tu umetofautiana hoja.
Aliyeanza kutoka kwenye hoja ni nani kati yangu na wewe?
Wakiambiwa ukweli wanakimbilia matusi π€£π€£π€£Mashabiki maandazi Hao
Yaani mtu na Akili zake kabisa anakaa anajiaminisha kua kila siku mtakua mnashinda tano ,tano ,ikitokea mmefunga 1 au 2 ,kitu linaanza kubweka
Sijui huo mpira wenzetu Hua wanaangalia wapi ,maana Leo Namungo alichofanikiwa Ni kujazana golini kwake ila bado watu wanalalama kama wamefungwa