FT: Yanga SC 1-0 Namungo FC | NBC Premier League | Azam Complex | 20.09.2023

Kila la kheri Timu ya Wananchi katika kuendeleza ushindi tupate kurudi kwenye ile nafasi yetu.

#DaimaMbeleNyumaMwiko.
 
Kila la heri kwa wauaji wa kusini
 
Naam mambo ni bambam
Kila la kheri Wananchiiiiiiiiiiiiiiiii
[emoji172][emoji169]
 
Yanga wamezoea bwerere...
Leo wataona Draw ya Kwanza
 
Namungo hawajatulia wanaanza kwa kushambuliwa gafla hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…