FT | Yanga SC 1-0 Simba SC | Ngao ya Jamii | New Amaan Complex | 12.08.2026 | Yanga mabingwa

FT | Yanga SC 1-0 Simba SC | Ngao ya Jamii | New Amaan Complex | 12.08.2026 | Yanga mabingwa

Mwenye kikosi cha kwanza anijulllishe. Kwa timu zote
1000921816.jpg
 
Wewe ni mtu mzima sana, kweli hili swali unauliza hapa? 😅
Mkuu niliuliza ili nijue kama shida ninayo mimi tu.
Ili nirekebishe.
Tuko wengi humu! Tunaotizama via Azam tv.
 
Back
Top Bottom