uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 19,101
- 31,995
Kuendelea na vichekesho hivi bonyeza 0Yanga is a winner so nipende nisipende tunafungwa
Kuendelea na vichekesho hivi bonyeza 0Yanga is a winner so nipende nisipende tunafungwa
HahahaNdio walivyo unataka kuwaelewaje?
Subiria tuwaweke
Acha iweKuendelea na vichekesho hivi bonyeza 0
Soma IYOOO???Kwa mpira huu..timu zetu bado sana, maneno ndio mengi lakin hakuna timu ya kushindana CAF hapa
bonyeza 1Kuendelea na vichekesho hivi bonyeza 0
Kama mechi ya kitandani huwezi vizuri unasaidiwa je sasa ukiwekwa uwanjaniMwenye kikosi cha kwanza anijulllishe.
SISI TUKO LIVEMwenye kikosi cha kwanza anijulllishe.
TuliaTimu zote ..
Zinapoteza sana mipira kizembe
Hakuna mfumo wa kutafuta magoli
CAF tutasindikiza tena
Huwa najiuliza hawa wageni tunawaleta wa nin kama mpira wenyewe ndio huu...Soma IYOOO???
Tulia mkuuHuwa najiuliza hawa wageni tunawaleta wa nin kama mpira wenyewe ndio huu...
TuliaaaaHuyu refa Hana kadi
TutakupaYanga ikifungwa leo nadai talaka
Labda mendeeSimba tunaenda kuua