Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 7,018
- 17,932
No excuses tonight.
Wanajisahaulisha.Head to head za hivi karibuni yanga ni vibonde wetu.. Mechi ya kwanza ya ligi tuliwakula refarii akawaokoa, mechi ya pili ya ligi tuliwakula tena but tukafanya uzembe goli mbili wakarudisha na wakashangilia draw na sisi utafikiri wamebeba champions league... Tukakutana tena Muungano tukawakula kabisa.... Mechi ya leo tunawakula tena.
Ngoja tuone...
Yanga bingwa