Utopologist
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 998
- 2,506
Sijavaa miwani yangu mkuu
Kayoko not ArajigaMchezaji wa goli bora la Africa anafanyiwa faulo na Arajiga anaangalia tu hata kadi hatoi
Unaota ndoto ukiwa unateseka wapiYanga 2 - 1 Simba, hii nasema mapema, ili mjue dak 90 ndio mpira
Dakika 40' zimebaki 5' sasa
Waooh upo madam!Naaaam [emoji847]
Ngoja tuoneBaada ya dak 90 utakuja kumbuka, sie tunaona mbali
Nipo best za weweWaooh upo madam!
Haya amka,amka unawe uso kumekuchaaa.Yanga 2 - 1 Simba, hii nasema mapema, ili mjue dak 90 ndio mpira