Waminyato
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,197
- 4,525
Leo hawezi yupo Onyango kiboko yake, labda uombe aingie Oatara ndo atapata goli.Mayele bado hajapata chance nzuri, moja tu anachoma goli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo hawezi yupo Onyango kiboko yake, labda uombe aingie Oatara ndo atapata goli.Mayele bado hajapata chance nzuri, moja tu anachoma goli
Kwenda wapi43:58
Yang 0- simba 1
Lets go WANANCHI[emoji169][emoji172][emoji169]
Kaua mashambulizi mawili ya maana kwasababu ya mavitu yake mengi yasiyokuwa na faida, huyu dogo akalishwe chini ashauriwe maana kila kiatu kimeharibu sana kisaikolojia.Mbona sioni SAKHO ..hasaidiiii mashambulizi
Haka katoto Kayoko kajinga sanaKadi kama njugu leo
Onyango hawezi kumkaba Mayele hata kidogo, labda uwe na macho MabovuLeo hawezi yupo Onyango kiboko yake,labda uombe aingie Oatara ndo atapata goli.