unatoa apdate huku roho inauma.41' Djuma Shaban anaonyeshwa kadi ya njano
Kwamba inonga baka anamuangalia tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mayele bado hajapata chance nzuri, moja tu anachoma goli
Kachuja, kazidi kuwa mweusi kama lamiMbona sioni SAKHO ..hasaidiiii mashambulizi
Ha ha ha[emoji23]Wana yanga MDA huu[emoji16]View attachment 2395669