ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 3,832
- 11,964
Makolo acheni hasiraHuyo nae anaona sifa kutoa kadi anadhani atapishwa kuwa refa bora?.acha wawavunje hao utopwinyo miguu
Huu mpira unaangalia kwa jicho moja?WAGANGA WA YANGA WAONGEZEWE HELA AISEE
Tate bwana[emoji23]All in all, mchezo umekuwa ni wa kiwango cha juu sana kwa pande zote mbili.
Hapa afe refa tuu mechi iendelee kutoka sare na nyie hapana aisee kwa mchezo simba wanaovyoukokotoaMakolo acheni hasira