FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

Mashambulizi ya simba hayana hatari ..
Hakuna forward wanaojaa mbele...
Sakho hatafiti6 waka kuomba chance...

Only Okrah ana struggle...
Phiri ameekewa ulinzi ..only chance ni sakho kutanua na kuomba..
Kadhalika upande wa EZRA Mwenda hapandishi timu , upande wake haitumiki.
Tofauti na YANGA wings zote zinatembea wakati viungo pia wakipanda..
Mkude hana option ya kutanua kulia .

Tayari mechi ishakuwa ngumu kwa SIMBA
 
1802 Hours

Vikosi vinarejea uwanjani kwa dakika 45 za pili
 
Aziziz kiii kashaharibu ndumba zao maana wanatakiwa wafunge kipindi cha pili basi tena mechi eidha iishe droo au Simba wawafumue mshono
 
Azizi Ki alivyoshangilia kamyooshea kidole cha poa Eng Hersi jukwaani na yeye kajibu ,Hersi anafurahia sana akishinda Azizi Kukilo mchezaji yeyote pale Yanga nimeona hata ile mechi ya ligi kuu.
Hahaa! anajaribu kuangalia Kama pesa iliyotumika na huduma vinafanana!!?😂😂
 
Moloko au Kisinda atoke aingie Farid Musa,Feisal aingie yule Bigirmana.
 
Mimi mpaka sasa bado ninamuogopa mnoo Mayele, maana wale wazee pale nyuma wakisinzia hata sekunde moja tu, Mayele ataleta kilio msimbazi. Yule mwamba huwa anawaza kucheka na nyavu tu.
Unayemuogopa leo hajacheza, kwa mujibu wa Nabi naskia ana injury
 
Hii mechi lazima Simba tumlize mtu.. Yanga mtakiona cha moto
 
46' Kipindi cha pili kimeanza

Yanga wanaanzisha mpira hapa uwanjani
 
Back
Top Bottom