FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

49' Jesus Moloko anachezewa faulo na Mohamed Hussein.. mohamed Hussein anaoneshwa kadi ya njano

Okrah anapiga shuti la mnazi na kupaa juuuu
 
Huyu Aziz Yuko na moto kipindi hiki cha 2. Tutamkalisha tuu
 
Back
Top Bottom