FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

Faridi Mussa
Fei
Job
Fei
Job
Azizi Kii
Farid Mussa

Kibwana
Off side
 
73' Yanga 1 Simba 1

Okrah anatoa mpira unakuwa ni wa kurusha

wakati huo Djigui Diara yupo chini, kuna maumivu kapata
 
Haya Profesa Nabi, nakushauri tena. Mtoe Jesus Moloko, halafu aingie kiungo wa kati, au Herittiel Makambo.

Timu inaelemewa sehemu ya kiungo.
Ni hatari sana. Namba 6 Khalid Aucho naye amechoka! Anasababisha uchochoro kule namba 3!
 
Back
Top Bottom