Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo Simba Sc hakuna mchezaji mpya atakaeupata ufalme mpaka Chama atakapoachana na Simba Sc, kafunga goli ila sifa zinanda kwenye pasi ya Chama[emoji23].Anatafuta ufalme, hovyo kabisa
Hawana team hao.HII GAME SIMBA AMEICHUKUA NI BASI TU, YANGA KAZIDIWA
Mzungu yuko mahakamaniToa okra mlete mzungu
[emoji23][emoji28]Mzungu yuko mahakamani
Kanji kamtapeli mzungu pori[emoji23][emoji28]
mahakamani kafata nini,au anadai chake kwa Kanji?
Kama Simba kaikamata hii game si aongeze magoli, nini kinashindikanaHII GAME SIMBA AMEICHUKUA NI BASI TU, YANGA KAZIDIWA
Ww mbona unaripoti za mayele tuuMayeleeeee
Hatari pale
Farid Mussa anapoteza pale
Tumeutawala mpira mwanzo mwishoKwa namna ambavyo Simba Sc tumeishika game, draw itakuwa ni matokeo ya kikatili sana.
Na tukiamua kuwa wakweli, hii team ya Yanga ina matatizo mengi sana, hata huko shirikisho haiwezi kutoboa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo anatawala mchezo 😂Ww mbona unaripoti za mayele tuu