The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Tukipiga tumepiga na tukipigwa ni tumepiga tuu hadi waombe msamahaTunao augsburg mpaka kieleweke. 💪💪
Yaani daah.Diaara haelewi kabisa nini kinaendelea yani!!
Usiondoke subiri hapahapa! ShwainniiMungu saidia Augsburg washinde. Wawaachie Uto mkosi.
Waanze kupigwa tu. Pigwa, sisi tunakuja kumaliza kwenye tobo mshono.
Sijui Uto wanaogopa nini.Haaaa haaaa pumzi imekata wanaanguka tu