Acha uRage Simba alifungwa APR wapi!?Mpira ni kitu cha ajabu, Simba kama mbovu vile ila waliwafunga APR, leo APR wanawafunga Yanga kiulainii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umbwaa hiiiπ€£π€£Muulize Kagame.
APRππ€£
Hiyo ndiyo janja Yao!Uto anamkimbia mnyama
HahahahaApr sokomeza mwiko huo uzame ndani kabisa