avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 8,082
- 14,457
Pale hakuna wachezaji, wameacha wachezaji wote dar eti wanakwenda kufanya majaribio chekechea. Huyo kocha hazijui hizo timu, hakuna muda wa kutengeneza watoto wanachotaka ni ushindi. Hilo litakuja kumrudi baadaye jinsi wanavyorushiwa maneno na wapinzani. Na hizi timu zikianza kufungwa huwa ni nuksi hivyo aanze kufungwa mizigoMakosa wakifanya wachezaji utamlaumu kocha ?
Hata aje pep guardiola au mokwena wa mamelodi au Thomas tuchel wa Bayern matokeo yatakuwa hayo hayo uwezo wa Baadhi ya wachezaji ni Mdogo .