FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024

FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024

Hata kama ni ushabiki ila hii sasa imezidi aiseee, niliwahi kusema humu kwa huu utoto wa kuanzisha hizi thread za match ni bora tu mods wakwa wanaanzisha wao hizi nyuzi.
Kwani hata akianzisha saa 2 kuna shida gani. Kwani kuna sheria imevunjwa.

Kwanini huwa mnakereka na vitu vidogo tu tena vya kawaida.

Hii ndiyo inautwa INDIVIDUAL DUFFERENCE . Hatuwezi kufanana mtazamo na uelewa!
 
Nzengeli umemuona kwenye first eleven? Mbona umeishia kutaja hao wawili tu vipi ndio wameishia au kuna wengine?
Kwani kina kubabage hawachezi? Kwani kina mauya, ngushi nao wanajaribiwa?

Ukipigwa kubali umezidiwa sababu hao ndio uliowaamini.

Visingizio vya first eleven, wasipata game time,sijui under 20 ni utoto.
 
Zilikua zikipigwa pasi 2 Banyarwanda iko kwa goli ya nyuma mwiko. Bamutu banacheza km vyura, banarukaruka tu uwanjani.

Papatu papatu sc
 
Kwani kina kubabage hawachezi? Kwani kina mauya, ngushi nao wanajaribiwa?

Ukipigwa kubali umezidiwa sababu hao ndio uliowaamini.

Visingizio vya first eleven, wasipata game time,sijui under 20 ni utoto.
Umemuona Kibabage kwenye kikosi? Lini Mauya kawa mchezaji wa first eleven?
Kwenye kikosi cha Mapinduzi ni wachezaji wangapi waliotumika wa first eleven? Je wanafika hata watano?
Hao hawakuaminiwa bali kocha kaidharau mashindano
 
Kwani kina kubabage hawachezi? Kwani kina mauya, ngushi nao wanajaribiwa?

Ukipigwa kubali umezidiwa sababu hao ndio uliowaamini.

Visingizio vya first eleven, wasipata game time,sijui under 20 ni utoto.
Kingepangwa kile kikosi kilichokubamiza magoli matano, wangepigwa wiki hao.
 
Kwani yanga huwa wanatafutaje goal? Acha ubwege na kudhalilisha wachezaji wetu. Wamefungwa ni matokeo ya mpira we kilaza. Kama hawakuwa wakitafuta goal walishindaje la kwanza na ilikuaje walikuwa wanaenda kushambulia?
Sikuona utopolo wakitafuta goli. Ilikuwa vyura wanaruka ruka tu uwanjani.

Papatu papatu.
 
Back
Top Bottom