Ana wivu wa kijinga sana Mwasibu. Yaani uzi ni wa Yanga! Kitendo cha mashabiki wa Yanga kuitakia ushindi timu yao, yeye anaumia. Bora angekuwa tu Mshangazi ili tujue moja.Kila la kheri chama la wananchi wote akiwemo kolo bin mbumbumbu Kipenzi Changu
Utafikiri ana mimba changa 😀Ana dis hadi visivyo muhusu.
Nashangaa kweli yani uzi wetu unamuumiza sana kolo Kipenzi ChanguAna wivu wa kijinga sana Mwasibu. Yaani uzi ni wa Yanga! Kitendo cha mashabiki wa Yanga kuitakia ushindi timu yao, yeye anaumia. Bora angekuwa tu Mshangazi ili tujue moja.
Mvua maeneo yapi?Mechi ipo kweli mbona mvua haipungui
Mabadiliko yapo makubwa, wachezaji wanacheza kama timu kufanya movement na build up na utengenezaji wa nafasi. Mapungufu yanaonekana upande wa wachezaji wenyewe kushindwa kuzitendea haki nafasi wanazozipata. Dube kawa na muendelezo mzuri wa kupoteza nafasi za wazi kabisa kama kawaida yake. Edmund John pia kakosa goli la wazi kabisa.Vip wadau kuna mabadiliko yoyote ya Yanga kiuchezaji? Tukilinganisha na ile ya Folz
Umeeleweka vzr mkuu, na inaonekana una vinasaba vya uelewa na uchambuzi wa sokaMabadiliko yapo makubwa, wachezaji wanacheza kama timu kufanya movement na build up na utengenezaji wa nafasi. Mapungufu yanaonekana upande wa wachezaji wenyewe kushindwa kuzitendea haki nafasi wanazozipata. Dube kawa na muendelezo mzuri wa kupoteza nafasi za wazi kabisa kama kawaida yake. Edmund John pia kakosa goli la wazi kabisa.
Mapungufu mengine ni kutokuwa compact katika ulinzi, sijui ndio kukosa kiungo mkabaji halisi au vipi ila naamini mambo yatakaa sawa kocha ni mgeni kabisa ila unaiona timu inapiga soka zuri huku wakitengeneza nafasi nyingi sana.