Naona tunastruggle kurudi kwenye ubora wetu. Wakati tulikuwa na timu nzuri, kocha mzuri, timu haikuwa ikihitaji mabadiliko makubwa, bali ilikuwa ikihitaji wachazaji wachache wa kujaza nafasi ya Aziz K,Ikangalombo na Musonda basi.
Ila ndio hivyo viongozi walikuwa wanataka kucheza na magazeti na mitandao ya jamii, timu inashinda ila uoni ile test ya msimu uliopita.