FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama ndio hivi basi mpira uarishwe vichwa vitulie kwanza
 
Naziona 5 hapa kabisa
Halla US MONASTIR 🤍🤍🤍🤍[emoji91][emoji91][emoji91][emoji881][emoji881][emoji1249][emoji1249][emoji1249]
 
Waarabu wakitandaza samba lao haswa, yanga hachomoki katu,, labda wacheze kama wanafanya mazoez tu coz matokeo yoyote kwao ni fresh.
 
Yanga wanashinda hii gemu makosa waliyofanya mechi ya kwanza ni kuruhusu magoli ya mipira ya kutengwa au iliyokufa wakikomaa kuruka vichwa leo hao waarabu wanakufa tena si chini ya goli mbili ingawaje ni wazuri wa kuzuia na counter za haraka haraka kama walivyowaua Mazembe dakika chache goli mbili inabidi wafe ili tupate heshima iliyopotea mjini kwa muda mrefu...
 
BADO MASAA 2 NA DAKIKA 42 TAIFA LIINGIE KWENYE AIBU

US MONASTIR DAMU[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji1249][emoji1249][emoji1249]
 
Kwa hii mvua boli itatembea kweli? Au ndo hawa ndugu zetu washapata kisingizio.
Tuwakumbushe kwamba Red Arrows alikula bao 3 kwenye pitch hiyo hiyo iliyojaa maji.
 
Baada ya uwanja wa mkapa kujaa maji kama bwawa la Nyerere, hatimaye CAF wameahirisha mchezo huo hadi kesho
Source: mimi mwenyeeeewe
 
Ukweli ni kuwa najua fika Yanga haendi popote leo ndiyo kwisha habari yake ila najaribu kuomba apate hata sare .
 
Iwe hivyo
 
Kwa hii mvua boli itatembea kweli? Au ndo hawa ndugu zetu washapata kisingizio.
Tuwakumbushe kwamba Red Arrows alikula bao 3 kwenye pitch hiyo hiyo iliyojaa maji.
Na CAF huwa hawahairishi mechi kirahisi

Walivyokuwa wanafanya makubaliano ya kufanya mashindano yafanyike msimu wa kifuku waliweza kuona mazingira kama haya na wakajua ni namna gani hayawezi kuathiri mwenendo wa ligi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…