FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

Mimi kama msemaji wa chama
Ameagiza nije niwaulize je??

Amkopeshe mkono wake wa kushoto aziz ki
Maana mkono wa chama tu akipewa aziz ki
Anakuwa kama chama aliyetoka mazoezini

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]


NB. Monastir nmeanza kuipenda toka 1984

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
View attachment 2557965
Anaitwa habiby de souza dinho ana asili ya Brazil kacheza na VINI jr alipiga chenga mpka refa ndyo akaletwa Africa
Mechi 20 assist 80 alifunga goli kimara to dodoma

Bangala anamjua
US MONASTIR DAMU[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji1249][emoji1249][emoji1249][emoji1249][emoji1249]
Kama ndio hivi basi mpira uarishwe vichwa vitulie kwanza
 
Naziona 5 hapa kabisa
Halla US MONASTIR 🤍🤍🤍🤍[emoji91][emoji91][emoji91][emoji881][emoji881][emoji1249][emoji1249][emoji1249]
 
Waarabu wakitandaza samba lao haswa, yanga hachomoki katu,, labda wacheze kama wanafanya mazoez tu coz matokeo yoyote kwao ni fresh.
 
Yanga wanashinda hii gemu makosa waliyofanya mechi ya kwanza ni kuruhusu magoli ya mipira ya kutengwa au iliyokufa wakikomaa kuruka vichwa leo hao waarabu wanakufa tena si chini ya goli mbili ingawaje ni wazuri wa kuzuia na counter za haraka haraka kama walivyowaua Mazembe dakika chache goli mbili inabidi wafe ili tupate heshima iliyopotea mjini kwa muda mrefu...
 
BADO MASAA 2 NA DAKIKA 42 TAIFA LIINGIE KWENYE AIBU

US MONASTIR DAMU[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji1249][emoji1249][emoji1249]
 
Kwa hii mvua boli itatembea kweli? Au ndo hawa ndugu zetu washapata kisingizio.
Tuwakumbushe kwamba Red Arrows alikula bao 3 kwenye pitch hiyo hiyo iliyojaa maji.
 
Baada ya uwanja wa mkapa kujaa maji kama bwawa la Nyerere, hatimaye CAF wameahirisha mchezo huo hadi kesho
Source: mimi mwenyeeeewe
 
Ukweli ni kuwa najua fika Yanga haendi popote leo ndiyo kwisha habari yake ila najaribu kuomba apate hata sare .
 
Yanga wanashinda hii gemu makosa waliyofanya mechi ya kwanza ni kuruhusu magoli ya mipira ya kutengwa au iliyokufa wskikomaa kuruka vichwa leo hao waarabu wanakufa tena si chini ya goli mbili ingawaje ni wazuri wa kuzuia na counter za haraka haraka kama walivyowaua Mazembe dakika chache goli mbili inabidi wafe ili tupate heshima iliyopotea mjini kwa muda mrefu...
Iwe hivyo
 
Kwa hii mvua boli itatembea kweli? Au ndo hawa ndugu zetu washapata kisingizio.
Tuwakumbushe kwamba Red Arrows alikula bao 3 kwenye pitch hiyo hiyo iliyojaa maji.
Na CAF huwa hawahairishi mechi kirahisi

Walivyokuwa wanafanya makubaliano ya kufanya mashindano yafanyike msimu wa kifuku waliweza kuona mazingira kama haya na wakajua ni namna gani hayawezi kuathiri mwenendo wa ligi
 
Back
Top Bottom